| Mkuu wa chuo akisalimiana na wachezaji wa mmwaka wa pili kushoto kwake ni raisi wa Stemmucso |
| Wachezaji wa timu ya WHITE EAGLE ya mwaka wa tatu wakiwa ndani ya bus tayari kwa kuelekea viwanja vya TTC |
| Kutoka kushoto ni Dean of Student,Rais wa stemmusco,Mkuu wa chuo Rev.Dr .Longoni.Mr Buteta na Speaker wa bunge la serikali ya wanafunzi wakiwa meza kuu ksubiri ufunguzi wa mashindano |
![]() |
| Kikosi cha timu ya mwaka wa pili B |
![]() |
| Kikosi cha timu ya mwaka wa tatu maarufu kama BAED CITY |
![]() |
| Picha ya pamoja kati ya Mkuu wa chuo,Dean of student,Msajili wa wanachuo,Rais wa Stemmucso na timu ya mpira wa Pete ya mwaka wa tatu |
![]() |
| Picha ya pamoja kati ya Mkuu wa chuo na timu ya netball ya mwaka wa pili |
![]() |
| Kikosi cha timu ya mwaka wa pili B |
| Rais wa Stemmusco Mh. Mwatebela Agrey akizungumza na wachezaji wa timu zote wakati wa ufunguzi wa mashindano |
| Dean of Students mwenye jezi nyeupe akitoa nasaha zake wakati wa ufunguzi wa mashindano aliyesimama kulia kwake ni Rais wa serikali ya Stemmusco |
| Mkuu wa chuo Akitoa nasaha zake katika hotuba fupi kwa wachezaji wa timu zote wakati akizindua rasmi mashindano ya BIGSCORE |
| picha ya pamoja ya mkuu wa chuo,dean of students,Rais na kikosi cha timu ya White eagle |
| Kikosi cha timu ya mwaka wa pili A wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa chuo,Dean of Students,msajli na Rais wa stemmucso |
| Kikosi kamili cha timu ya mwaka wa tatu (white Eagle) |
| Mkuu wa chuo akisalimiana na wachezaji wa White Eagle |
| Mashabiki wa timu ya mwka wa tatu ya WHITE EAGLE |
| Mkuu wa chuo akizungumza na wachezaji wa mchezo wa volleyball katika viwanja vya TTC |
| Mkuu wa chuo akikagua jezi ya mchezaji nguli wa white eagle maarufu kama Damme |
| Shabiki maarufu wa mwaka wa tatu Calvin super tall akipuliza vuvuzela Picha zote na; Danstan Mahiza Naibu waziri wa Habari STEMMUSCO |





No comments:
Post a Comment