Preliminary list for expected graduands who will attend the 2nd University Graduation ceremony on 5th December 2013 will be released on 5th November 2013.
NOTE: Students with academic problems will have to
submit their complaints to the Examinations Officer from 5th to 7th November 2013 (either physically or through e
mail).
E Mail Address: sr.flora71@yahoo.com
Tel: 0787 -141722
Saturday, November 9, 2013
Thursday, November 7, 2013
TEACHING POLICY
DOWNLOAD TEACHING POLICY HAPAhttps://drive.google.com/file/d/0B6XZvPZWiHcoVkNtOS15Nm
WELCOME FIRST YEAR EVENT
Serikali ya wanachuo STEMMUCSO kupitia kwa wizara yake ya Maafa na Starehe inapenda kuwafahamisha kuwa siku ya Ijumaa tar 08/11/2013 kuanzia saa moja usiku kutakua na bash/party ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza(certificate,Diploma na Shahada) itakayofanyika katika ukumbi wa Makonde Beach Club.
Danstan Mahiza
Naibu Waziri wa Habari
STEMMUCSO
Hakutakua na kiingilio kwa wanachuo wote wa STEMMUCO,ila kwa wale ambao watapenda kuungana nasi watalipa kiingilio cha Tsh 3000/= tu.
Unakumbushwa kufika na kitambulisho chako cha chuo.
Wote mnakaribishwa!
Danstan Mahiza
Naibu Waziri wa Habari
STEMMUCSO
Friday, November 1, 2013
KIKAO CHA VIONGOZI MBALIMBALI WA WANACHUO NA WAJUMBE/VIONGOZI KUTOKA TCU
Kikao hicho kiliwakutanisha wajumbe/viongozi kutoka Tanzania Commission for Universities (TCU) uongozi wote wa STEMMUSO ,Rais,Makamu wa Raisi,waziri mkuu,baraza lote la mawaziri na makatibu.Pia walikuwepo Wabunge wa Stemmusco na MaCR wa facult zote na wa kila somo.
Lengo kuu la kikao hicho lilikua ni kujadili changamoto mbalimbali zinazo kikabili chuo chetu.Wawakilishi hao wa wanachuo waliweza kuwasilisha changamoto nyingi pamoja na mazuri mengi tu ambayo yamefanyika chuoni kwetu pia walijaribu kutoa ushauri wa nini kifanyike katika kukiboresha chuo chetu na kuwafanya wanachuo wote wayafurahie maisha ya chuo pamoja na kuzingatia ubora unaotakiwa kwa sheria za vyuo vikuu vyote nchini unafikiwa....
Danstan Mahiza
Naibu Waziri wa Habari
STEMMUCSO
Lengo kuu la kikao hicho lilikua ni kujadili changamoto mbalimbali zinazo kikabili chuo chetu.Wawakilishi hao wa wanachuo waliweza kuwasilisha changamoto nyingi pamoja na mazuri mengi tu ambayo yamefanyika chuoni kwetu pia walijaribu kutoa ushauri wa nini kifanyike katika kukiboresha chuo chetu na kuwafanya wanachuo wote wayafurahie maisha ya chuo pamoja na kuzingatia ubora unaotakiwa kwa sheria za vyuo vikuu vyote nchini unafikiwa....
Viongozi wa Stemmusco wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka TCU akiwemo Dr,Kitila Mkumbo(mwenye miwani katikati)Mara baada ya kumalizika kwa kikao katika ukumbi wa Main Hall |
Wawakilishi wa wanachuo wakiwa makini kusikiliza nini kinaelezwa katika kikao hicho na viongozi kutoka TCU |
Dr. Kitila Mkumbo Akijitambulisha kwa viongozi mbalimbali wa wanachuo |
Rais wa Stemmusco Mh.Agrey Mwatebela nae ilipata nafasi ya kuzungumza machche katika kikao hicho |
Danstan Mahiza
Naibu Waziri wa Habari
STEMMUCSO
Subscribe to:
Posts (Atom)