Serikali ya Wanachuo (STEMMUCSO) inawapongeza wanachuo wenzetu wote waliofanikiwa kumaliza salama na hatimaye leo wmetunukiwa shahada zao na tunawaombea heri na baraka huko muendako muweze kufanikiwa zaidi katika maisha yenu
Askofu Gabriel akiwaongoza maaskofu wengine,mapadre wakufunzi wahitimu na waumini kutoka kanisani mara baada ya kumalizika kwa misa ya mahafali
Picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa ibada ya misa ya mahafali
Wanakwaya wakiongoza maandamano ya kutoka kanisani
Maaskofu,Mapadre,wakufunzi na wahitimu wa mwaka wa tatu wakiwa katika picha ya pamoja
Waziri wa jinsia wa serikali ya wanachuo Mh Happy akigawa vitabu vya mahafali kwa wahitimu
Rais wa serikali ya wanachuo Mh Mwatebela Agrey kushoto akiwa na Mh Patrick Patrick ambaye ni waziri ofisi ya rais kabla ya kuanza rasmi kwa sherehe ya mahafali
Wakufunzi wakiwa katika maandamano kuelekea jukwaa kuu tayari kwa kuanza sherehe ya mahafali
Mkuu wa chuo akiwaongoza mgeni rasmi na wageni wengine waalikwa katika Jukwaa kuu
Wahitimu wa shahada ya sanaa na ualimu wakiwa katika jukwaa
wahitumu wa shahada ya elimu na sanaa wakisubiri kutunukiwa shahada zao
Mkuu wa chuo Father Dr. Longino akitoa nasaha zake kwa wahitimu
Wahitimu wa shahada ya Mahusiano ya jamii(Sociology)wakifurahia mara baada ya kutunukiwa shahada zao
Wahitimu wakipongezana
Mgeni rasmi akitoa nasaha zake kwa wahitimu
Mmoja wa wahitimu akishangilia mara baada ya kutunukiwa shahada
Wanakamati ya ulizi walikua mstari wa mbele kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
Wahitimu wa shahada ya elimu na sanaa
Naibu waziri wa habari wa serikali iliyopita Mh Francis Mtunda a.k.a Jasiri kulia akiwa katika picha ya pamoja na Naibu waziri wa habari wa sasa Mh Danstan Mahiza mwenye shti jeupe
Picha ya pamoja ya Maaskofu,Mgeni rasmi,Mkuu wa chuo na wakufunzi mara baada ya kumalizika kwa sherehe za mhafali
Father Champlain akifungua sherehe za mahafali kwa sala
Katibu wa wizara ya habari Mh Nassor kushoto akiwa na wanakamati ya ulinzi
Mwishowe wanakamati walijumuika pamoja na kuburudika
Picha zote na
Danstan Mahiza
Naibu waziri wa habari
STEMMUCSO
No comments:
Post a Comment