Thursday, June 13, 2013

YAH: MKUTANO WA II WA BUNGE LA SERIKALI YA WANAFUNZI STEMMUCSO

Hii ni kuwataarifu waheshimiwa wabunge, mawaziri na manaibu mawaziri, kwamba kesho Ijumaa June 14, 2013 saa mbili asubuhi, katika ukumbi wa MTR 8 Kutakuwepo na Mkutano wa II wa Bunge la Serikali ya Wanafunzi STEMMUCSO. Hivyo basi unaombwa kufika mapema bila ya kukosa ili Mkutano uanze kwa muda rasmi.

Imetolewa na Ofisi ya Bunge - STEMMUCSO.

2 comments:

Anonymous said...

asante kwa taalifa tumependezwa

Anonymous said...

asante kwa taarifa,muenderee hivohivo,Emmanuel Lucy,BAED 2