Monday, October 28, 2013

PICHA ZA YALIYOJILI KATIKA UFUNGUZI WA MASHINDANO YA BIG SCORE TAR 26/10/2013

Mkuu wa chuo akisalimiana na wachezaji wa mmwaka wa pili kushoto kwake ni raisi wa Stemmucso
Wachezaji wa timu ya WHITE EAGLE ya mwaka wa tatu wakiwa ndani ya bus
 tayari kwa kuelekea viwanja vya TTC 

Kutoka kushoto ni Dean of Student,Rais wa stemmusco,Mkuu wa chuo Rev.Dr .Longoni.Mr Buteta na
Speaker wa bunge la serikali ya wanafunzi wakiwa meza kuu ksubiri ufunguzi wa mashindano

Kikosi cha timu ya mwaka wa pili B

Kikosi cha timu ya mwaka wa tatu maarufu kama BAED CITY
Picha ya pamoja kati ya Mkuu wa chuo,Dean of student,Msajili wa wanachuo,Rais wa Stemmucso na timu ya mpira wa Pete ya mwaka wa tatu

Picha ya pamoja kati ya Mkuu wa chuo na timu ya netball ya   mwaka wa pili

Kikosi cha timu ya mwaka wa pili B


Rais wa Stemmusco Mh. Mwatebela Agrey akizungumza na wachezaji wa timu zote wakati wa
ufunguzi wa mashindano

Dean of Students mwenye jezi nyeupe akitoa nasaha zake wakati wa ufunguzi wa mashindano
aliyesimama kulia kwake ni Rais wa serikali ya Stemmusco

Mkuu wa chuo Akitoa nasaha zake katika hotuba fupi kwa wachezaji wa timu zote wakati
akizindua rasmi  mashindano ya BIGSCORE

picha ya pamoja ya mkuu wa chuo,dean of students,Rais na kikosi cha timu ya White eagle

Kikosi cha timu ya mwaka wa pili A wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa chuo,Dean of Students,msajli na Rais wa stemmucso


Kikosi kamili cha timu ya mwaka wa tatu (white Eagle)


Mkuu wa chuo akisalimiana na wachezaji wa White Eagle


Mashabiki wa timu ya mwka wa tatu ya WHITE EAGLE

Mkuu  wa chuo akizungumza na wachezaji wa mchezo wa volleyball katika viwanja vya TTC

Mkuu wa chuo akikagua jezi ya mchezaji nguli wa white eagle maarufu kama Damme


Shabiki maarufu wa mwaka wa tatu  Calvin super tall akipuliza vuvuzela


Picha zote na; Danstan Mahiza
Naibu waziri wa Habari
STEMMUSCO

No comments: